Home Michezo JUVENTUS YAIZAMISHA 3-0 BAYERN LEVERKUSEN ULAYA

JUVENTUS YAIZAMISHA 3-0 BAYERN LEVERKUSEN ULAYA

0

Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kufungia Juventus bao la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Mabao mengine ya Juventus yamefungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 17 na Federico Bernardeschi dakika ya 61 PICHA ZAIDI SOMA HAPA