Home Mchanganyiko Muonekano wa barabara ya Urambo-Kaliua Km 28, ambayo ujenzi wake kwa kiwango...

Muonekano wa barabara ya Urambo-Kaliua Km 28, ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea mkoani Tabora.

0

Muonekano wa barabara ya Mwandiga-Chankere-Mwamugongo Km 45,
ambayo ujenzi wa kuifungu ili ipitike umeanza, kukamilika kwa barabara
hiyo inayounganisha Tanzania na Burundi kupitia tarafa ya Kagunga
kutachochea huduma za utalii, kilimo na biashara mkoani Kigoma.

Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Kigoma
Eng. Narcis Choma (wa pili kushoto), akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John
Kwandikwa (kushoto), alipokagua eneo litakalotumika kurefusha njia ya
kuruka na kutua ndege katika uwanja wa ndege wa Kigoma, kulia ni
meneja wa uwanja wa ndege wa Kigoma Bw, Theophany Bileha.

Muonekano wa barabara ya Urambo-Kaliua Km 28, ambayo ujenzi wake
kwa kiwango cha lami unaendelea mkoani Tabora.

Muonekano wa barabara ya Urambo-Kaliua Km 28, ambayo ujenzi wake
kwa kiwango cha lami unaendelea mkoani Tabora.