Home Michezo AUBAMEYANG AIKATALIA MAN UNITED,ARSENAL YAIBANA MBAVU UWANJA WA OLD TRAFFORD

AUBAMEYANG AIKATALIA MAN UNITED,ARSENAL YAIBANA MBAVU UWANJA WA OLD TRAFFORD

0

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na mwenzao, Pierre-Emerick Aubameyang aliyewafungia bao la kusawazisha dakika ya 58 wakitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Manchester United iliyotangulia kwa bao la Scott McTominay dakika ya 45 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI SOMA HAPA