Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na mwenzao, Pierre-Emerick Aubameyang aliyewafungia bao la kusawazisha dakika ya 58 wakitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Manchester United iliyotangulia kwa bao la Scott McTominay dakika ya 45 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI SOMA HAPA
AUBAMEYANG AIKATALIA MAN UNITED,ARSENAL YAIBANA MBAVU UWANJA WA OLD TRAFFORD
By Alex Sonna
October 1, 2019 | 7:50 am

Related Stories
View all
Michezo
5 hours ago
RAIS WA BARCELONA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS SAMIA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameanza ziara maalum ya siku nne katika Klabu ya FC Barcelona nchini Hispania kwa mwaliko…
Michezo
2 days ago
SIMBA SC YAICHAPA MIGHTY WANDERERS 6 -1, YASONGA MBELE LIGI YA MABIGWA AFRIKA
Wekundu wa Msimbazi, , wameibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa…
