Home Burudani PICHA NA MATUKIO-JAMAFEST 2019 TANZANIA

PICHA NA MATUKIO-JAMAFEST 2019 TANZANIA

0

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, akionesha  ubunifu  wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Juliana Shonza, akionesha ubunifu  wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na  Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  Balozi Seif Ali Iddi 

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Sanaa, Bi. Joyce Fisoo, akionesha ubunifu  wa Mavazi na  Mitindo katika Tamasha la Sanaa na  Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  Balozi Seif Ali Iddi .

Mbunge wa Kiti Maalum, Bi. Halima Bulembo, akionesha  ubunifu  wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.