Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, akionesha ubunifu wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Juliana Shonza, akionesha ubunifu wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Sanaa, Bi. Joyce Fisoo, akionesha ubunifu wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi .
Mbunge wa Kiti Maalum, Bi. Halima Bulembo, akionesha ubunifu wa Mavazi na Mitindo katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) yanayohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.