Home Burudani Matukio mbalimbali katika Picha Tamasha la JAMAFEST

Matukio mbalimbali katika Picha Tamasha la JAMAFEST

0

Msanii toka Tanzania akionesha umahiri wake wa kucheza na nyoka aina ya chatu katika maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kikundi cha ngoma toka nchini Tanzania wakitoa burudani kwa wananchi walioshiriki Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kikundi cha ngoma toka nchini Tanzania wakitoa burudani kwa wananchi walioshiriki Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshiriki toka Tanzania akionesha umahiri wake katika mchezo wa sarakasi wakati wa maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wananchi wakifuatila burudani mbambali wakati wa maonesho ya Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.