Home Biashara WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR MHE. BALOZI RAMIA ATILIANA SAINI NA...

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR MHE. BALOZI RAMIA ATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO WA ABU DHABI LEO.

0

WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akibalilishana hati za makubaliano ya Ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Wete Kisiwani Pemba na Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi Sheikh.Mohammed Saif Al Suwaid, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi leo.(Picha na Ikulu).

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisaini kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ukarabati na ujenzi wa Hospital ya Wete Kisiwani Pemba na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi.Sheikh. Mohammed Saif Al Suwaid,hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, leo 27-9-2019.(Picha na Ikulu).

Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa katika picha ya pamoja na viongozi wa mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi mara baada ya kusaini makubaliano.(Picha na Ikulu)