MchanganyikoBenki ya NBC Yaendelea Kuipiga Jeki Sekta ya Madini Last updated: 2019/09/27 at 6:29 AM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Geita, Martin Nkanda wakati wa wa maonesho ya pili ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita. Katikati ni Meneja wa NBC kanda ya ziwa, Japhet Mazumira. NBC ni mmoja ya wadhamini wa maonesho hayo. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (kushoto) akisalimiana na Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Geita, Martin Nkanda katika Maonesho ya pili ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini. Katikati ni Meneja wa NBC kanda ya ziwa, Japhet Mazumira. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto), akisalimiana na Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Geita, Martin Nkanda wakati akiwasili katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya pili ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yaliyofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita hivi karibuni. Wapili kulia ni Meneja wa NBC kanda ya ziwa, Japhet Mazumira. NBC inadhamini maonyesho hayo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto), akisalimiana na Meneja wa NBC Kanda ya Ziwa, Japhet Mazumira, akipokwenda kufungua rasmi maonesho hayo. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert (kulia) akisalimiana na Meneja wa NBC kanda ya ziwa, Japhet Mazumira wakati akitembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya pili ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita. Katikati ni Meneja Uendeshaji Tawi, Thadei Tibalinda. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (kulia), akisalimiana na Ofisa Huduma kwa Wateja, Aggrey Kanani wakati akitembelea banda la Benki hiyo wakati wa Maonesho ya pili ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita. Katikati ni Meneja wa NBC kanda ya ziwa, Japhet Mazumira. Alex Sonna September 27, 2019 September 27, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article UANDISHI VITABU KUWA KIGEZO WAKUFUNZI KUPANDA VYEO MLALE Next Article FEDHA ZA NDANI ZIJENGE MIRADI YA KIMKAKATI-MAJALIWA