Home Biashara WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZIWA CHA ASAS MJINI IRINGA

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZIWA CHA ASAS MJINI IRINGA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri wakati alipowasili kwenye kiwanda cha maziwa cha  ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wizara ya Mifugo Profesa Elisante Ole Gabriel na Waziri wa Ardhi Mh. William Lukuvi .

(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWEBLOG-IRINGA)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa wizara ya Mifugo Elisante Ole Gabriel mara baada ya kuwasili katika  kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. katikati ni Waziri wa Ardhi Mh. William Lukuvi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Fuad Abri.Fuad Abri Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda  cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  wa pili kutoka Kushoto ni Ahmed Salim mmoja wa wakurugenzi wa Makampuni ya ASAS.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aakiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri wakati alipowasili kwenye kiwanda cha maziwa cha  ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019 kulia ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Happy.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati ni anayetoa maelezo ni  Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda hicho, Fuad Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda hicho, Fuad Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiuliza jambo wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mashine za kisasa zilizofungwa  wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkewe Mama Mary Majwaliwa wakiangalia jinsi mitambo inavyofanya kazi wakati akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda hicho, Fuad Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa za maziwa zilizotengenezwa tayari kiwandani hapo huku Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri akiwa pamoja naye.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia akizungumza jambo na wafanyakazi wa kiwanda hicho wakati alipotembelea na kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa kiwandani hapo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo  na Mmoja wa wakurugenzi Ahmed Salim wakati akitembelea kiwanda hicho kulia ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Happy

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  akiwa na  Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda hicho, Fuad Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa  wakiangalia bidhaa za maziwa zinazotengenezwa kiwandani hapo wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  kulia  anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda hicho, Fuad Abri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa  wakiangalia tuzo ambazo kiwanda hichi kimejishindia kutokana na ubora wa bidhaa zake za maziwa wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.  kulia  anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa  kiwanda hicho, Fuad Abri.

Baadhi ya mabalozi wa Maziwa ya ASAS wakiwa katika kiwanda hicho leo ikiwani ni maadhimisho ya siku ya unywaji maziwa inayofanyika kitaifa mkoani Iringa.

Faraj Abri mmoja wa wakurigenzi wa ASAS akiwa pamoja na mabalozi wa maziwa ya ASAS Diariers ambao wako mjini Iringa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya unywaji maziwa kitaifa inayofanyika mkoani humo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa  wakizungumza na mtoto Maya ambaye ni muigizaji anayechipukia na Balozi wa  bidhaa za maziwa ASAS wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa  wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wa  bidhaa za maziwa zinazotengenezwa na kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.