Home Burudani Wananchi Waendelea Kujitokeza Tamasha la Nne la JAMAFEST

Wananchi Waendelea Kujitokeza Tamasha la Nne la JAMAFEST

0

Kikundi cha ngoma toka Tanzania kikitoa burudani ya ngoma ya kabila la wagogo wakati wa Tamasha la Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kikundi cha ngoma toka Tanzania kikitoa burudani ya ngoma ya kabila la wanyihaS wakati wa Tamasha la Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi wa shuule msingi Umoja  toka Tanzania wakitoa burudani ya ngoma ya kabila la wanyasa wakati wa Tamasha la Utamaduni wa  nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi wa shuule msingi Fontain Gate toka Dodoma nchini Tanzania wakitoa burudani ya ngoma wakati wa Tamasha la Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wananchi wakipata burudani ya ngoma wakati wa Tamasha la Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wasanii wa maigizo toka nchini Kenya wakitoa burudani wakati wa Tamasha la Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wasanii toka kituo cha Jeshi la Uokovu wakitoa burudani  wakati wa Constantine Kanyasu

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu  akiangalia bidhaa mbalimbali za kitamaduni wakati alpotembelea Tamasha la Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) mapema hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

10: Baadhi ya bidhaa za Utamaduni.