Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MTAWALA WA RAS KHAIMAH LEO

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MTAWALA WA RAS KHAIMAH LEO

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh.Saud Bin Saqr Alqasimi, alipofika katika makaazi yake Al Dhait Raa Al Khaimah, akiwa katika ziara yake leo 23/9/2019.

UJUMBE wa Mtawala wa Ras Al Khaimah wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na mwenyeji wake Mtawala waRas Al Khaimah. Sheikh Saud Bin Alqasimi, mazungumzo hayo yamefanyika katika makazi yake Al Dhait Raa Al Khaimah

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi mlango wa Zanzibar mwenyeji wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Alqasimi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi yake Ras Al Khaimah,leo 23/9/2019.(Picha na Ikulu) .