Home Mchanganyiko Rais Dkt. Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais Dkt. Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019. Picha na Ikulu