Tamasha la Jamafest 2019 linazidi kunoga huku wasanii na vikundi mbali mbali vya ngoma vikijitokeza kushiriki kwa ufasaha kwa nchi za Tanzania ambao ni wenyeji, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Tamsaha hilo lililoanza Sepetemba 21 linatarajiwa kumalizika Septemba 28, 2019.
JAMAFEST 2019 YAZIDI KUNOGA, WASANII MBALI MBALI WAJITOKEZA KUSHIRIKI
By Alex Sonna
September 23, 2019 | 6:35 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
5 hours ago
TANZANIA YAFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA BIDHAA TIBA CPHI MILAN 2026
Tanzania inashiriki Kongamano na Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Dawa, Vifaa Tiba, Chanjo na Vitendanishi (CPHI) yanayofanyika Milan, Italia, tarehe 6–8 Oktoba 2026.…
Mchanganyiko
6 hours ago
CHAMWINO: KNEC YAFUNGWE NJIA KWA ASASI 10 KUINGIA UWANJANI
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali kwa taasisi na asasi za kiraia 10 kushiriki katika maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge…







