Home Michezo BAADA YA KICHAPO TOKA KWA PSG,REAL MADRID YAFUFUKA LA LIGA

BAADA YA KICHAPO TOKA KWA PSG,REAL MADRID YAFUFUKA LA LIGA

0

Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 64 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla PICHA ZAIDI SOMA HAPA