Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 84 ikiilaza 3-2 Aston Villa Uwanja wa Emirates leo. Mabao mengine ya Arsenal iliyomaliza pungufu baada kinda wake Ainsley Maitland-Niles kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 41 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kucheza rafu, yalifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 59 na Callum Chambers dakika ya 81, wakati ya Villa yalifungwa na John McGinn dakika ya 20 na Wesley dakika ya 60 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAPINDUA MEZA KIBABE,YAICHAPA 3-2 ASTON VILLA
By Alex Sonna
September 22, 2019 | 7:52 pm

Related Stories
View all
Michezo
6 hours ago
RC CHALAMILA VIWANGO MARATHON NJIA MADHUBUTI YA KUFIKISHA ELIMU KWA UMMA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amefurahishwa na kupongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuandaa Viwango Marathon kama sehemu…
Michezo
23 hours ago
MAKONDA: TUTAZIFANYA MBIO ZA SIKU YA AFRIKA KUWA ZA KIMATAIFA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema Serikali inafikiria kuzifanya Mbio za Siku ya Afrika kuwa za Kimataifa ili kufanikisha…
