Home Michezo ARSENAL YANG’ARA UGENINI YAICHAPA 3-0 EINTRACHT FRANKFURT EUROPA LEAGUE

ARSENAL YANG’ARA UGENINI YAICHAPA 3-0 EINTRACHT FRANKFURT EUROPA LEAGUE

0

Pierre-Emerick Aubameyang (kushoto) akishangilia na Bukayo Saka baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Arsenal dhidi ya wenyeji, Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt. Saka alifunga bao la pili dakika ya 85 na Aubameyang la tatu dakika ya 87 baada ya Joe Willock kufunga la kwanza dakika ya 38 PICHA ZAIDI SOMA HAPA