Jeneza lenye mwili wa marehemu Godfrey Dilunga ukiwasili katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es slaam tayari kwa kuagwa na kusafirishwa kwenda mkoani Morogoro kwa Mazishi.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembea akiongea wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga aliyefariki Dunia ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Waziri Mstaafu wa mambo ya nje Mhe.Bernald Membe,akizungumza wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga aliyefariki Dunia ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa mazishi
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw.Neville Meena akitoa salamu zake wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga aliyefariki Dunia ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa mazishi
MKURUGENZI Mtendaji wa Jamhuri Media akitoa salami zake kufuatia kifo cha mfanayakazi mwenzao Marehemu Godfrey Dilunga katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwenda kuzikwa
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembea akisisitiza jambo wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu Gerson Msingwa akisalimiana na kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe,wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Sehemu ya viongozi mbalimbali wakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wakiaga Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Waziri mambo ya nje mstaafu Bernald Membe wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Wafanyakazi wa Jamhuri Media wakiwa Mnazi mmoja kwa ajili ya
kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Viongozi mbalimbali wakiaga Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Wanahabari mbalimbali wakijadili jambo wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Godfrey Dilunga katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo amesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Familia ya Marehemu ya Godfrey Dilunga wakiuaga mwili wa mpendwa wao katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam na umesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Baadhi ya waombelezaji wakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam uliohudhuria kuaga mwili wa marehemu Godfrey Dilunga na umesafirishwa kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi