Riyad Mahrez (kulia) akishangilia na Ilkay Gundogan baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 24 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Oblasny SportKomplex Metalist mjini Kharkiv. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Gundogan dakika ya 38 na Gabriel Jesus dakika ya 36 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YANG’ARA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
September 19, 2019 | 7:05 am

Related Stories
View all
Michezo
4 hours ago
KITONGA MARATHON KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UTALII KILOLO
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…
Michezo
4 hours ago
WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO
Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia maandalizi ya AFCON…
