Cristiano Ronaldo akiwa ameshika kichwa baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kuifungia timu yake bao ambalo lingekuwa la ushindi, Juventus ikitoa sare y 2-2 na wenyeji Atletico Madrid kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Juventus ilitangulia kwa mabao ya Juan Cuadrado dakika ya 48 Blaise Matuidi dakika ya 68 kabla ya Atletico Madrid kusawazisha kupitia kwa Stefan Savic dakika ya 70 na Hector Herrera dakika ya 90 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
JUVENTUS YABANWA MBAVU 0-0 NA ATLETICO MADRID
By Alex Sonna
September 19, 2019 | 7:00 am

Related Stories
View all
Michezo
5 hours ago
KITONGA MARATHON KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UTALII KILOLO
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…
Michezo
5 hours ago
WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO
Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia maandalizi ya AFCON…
