Home Mchanganyiko IGP SIRRO MWENYEKITI MPYA WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA...

IGP SIRRO MWENYEKITI MPYA WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA EAPCCO

0

Matukio mbalimbali kwenye picha ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro leo 19/09/2019 amekabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa afrika EAPCCO kutoka kwa IGP wa Sudan Adil  Mohamed Ahmed,tukio ambalo limeshuhudiwa na mgeni rasmi kwenye mkutano huo Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwam,  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini