Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Majula Mateko Kasika na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, Mussa Elias Mnyeti. Uteizi wa viongozi hao umetenguliwa kuanzia leo tarehe 17 Septemba, 2019.