Kipa David de Gea akisaini mkataba mpya wa muda mrefu kuendelea kutumika Manchester United hadi mwaka 2023 kwa mshahara wa Pauni 375,000 kwa wiki wenye kipengele cha kuongezwa mwaka mmoja. Hadi sasa, kipa huyo wa kimataifa wa Hispania amewadakia Mashetani hao Wekundu mechi 367 tangu ajiunge nao mwaka 2011 PICHA ZAIDI SOMA HAPA