Home Mchanganyiko Rais Mhe. Dkt. Magufuli akagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa...

Rais Mhe. Dkt. Magufuli akagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kukagua eneo la Machinjio ya Ng’ombe na Mbuzi Vingunguti jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ambao unasuasua. PICHA NA IKULU