Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi jimboni humo wakati akiwa ameanza ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo na utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi. (Picha Zote Na Innocent Natai, WazoHuru Blog)
Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba akishirikiana na wananchi kushusha vifaa alivyoahidi jimboni humo wakati akiwa ameanza ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo na utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
Gari iliyobeba vifaa mbalimbali ikiwemo misumari, rangi, jipsam, na mabati ikishusha vifaa hivyo kwa ajili ya kutimiza ahadi ya Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba aliyoitoa hivi karibuni.
Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi jimboni humo wakati akiwa ameanza ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo na utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
Na Innocent Natai, WazoHuru Blog-Iramba
Mbunge wa
Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba ametimiza ahadi zake alizo zitoa jimboni kwake
Iramba Magharibi Aprili mwaka huu, ameyasema hayo hivi leo alipokuwa akikabidhi
shehena ya vifaa kwaajili ya umaliziaji wa jengo la zahanati na shule yaliyo
ezuliwa na upepo Aprili 2019.

Mwigulu amesema kuwa ameyafanya hayo baada ya ahadi
yake na maombi aliyoyapata kutoka kwa wananchi alipofanya ziara Aprili mwaka
huu kwenye maeneo hayo kushuhudia madhara ya upepo ulioezua paa la hosipitali.

Baadhi ya vifaa alivyotoa mbunge huyo kwaajili ya
zahanati Doromonyi ni pamoja na mbao kwaajili ya kuwekea paa, misumari, rangi,
jipsam,mabati na chuma.

Mwigulu amesema kuwa pia aliamua kutoa saruji shule
ya msingi Mikilango mifuko hamsini kwaajili ya kusaidia kuweka sakafu katika
madarasa matatu yaliyokuwa yameharibika.

Mwigulu amewataka wananchi kuacha kuutolea maneno
mabaya mradi wa usambazaji umeme vijijini ujulikanao kama REA kwa kusema kuwa
wanaweka nguzo na kuziacha bila kuweka nyaya bali amewataka kuwa na subira
wakati watendaji wakuu wa mradi huo wakiendelea na usambazaji wa nguzo na nyaya
kwa awamu kufuatana na jinsi utaalamu wa uwekaji ulivyo.

Ameongeza kuwa serikali ya awamu ya tano
inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dokta John Pombe Magufuli imefanya kazik ubwa
kuhakikisha vijiji zaidi ya elfu saba vinapata umeme ukilinganisha na
ilivyokuwa awali.

“Tumuunge mkono Rais wetu huwa halali anakesha
kuhakikisha wananchi wake mnapata maendeleo kwasasa kwa maendeleo yoote
aliyoyafanya yameshazidi asilimia ya ilani iliyowekwa kwenye ilani ya
CCM’’ alisema Nchemba.

Kuhusu miundombinu ya barabara amezidi kumshukuru
Rais kwa kuwezeshwa kujengwa kwa barabara katika jimbo lake na kuzipandisha
viwango barabara ambazo zilikuwa na hali mbaya na kushindwa kupitika kipindi
cha mvua.

Mwigulu anatarajiwa kufanya ziara yake kwa siku
kadhaa kwenye jimbo lake akikagua miradi mbalimbali ikiwemo ya
Shule,Barabara,Hospitali na mingine ya kijamii na pia kusikiliza kero
mbalimbali za wapigakura wa jimbo la Iramba Mgharibi na kuzifanyia utautuzi.