Home Mchanganyiko MKUTANO KUHUSU TAKWIMU ZA MAKOSA BARABARANI WAFANYIKA ZANZIBAR

MKUTANO KUHUSU TAKWIMU ZA MAKOSA BARABARANI WAFANYIKA ZANZIBAR

0
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano kuhusu Takwimu za Makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Mtakwimu wa Kitengo cha Takwimu za makosa ya Jinai,Madai na Jinsia Asha Mussa Mahfoudh akitoa Takwimu za Makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
CPL kutoka kitengo cha Traffic Makao Makuu ya Polisi Zanzibar akijibu maswali ya Waandishi kuhusu makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Zenj Fm Amina Diwani akiuliza maswali katika Mkutano wa Waandishi  kuhusu Takwimu za Makosa ya  Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23  Mwezi wa  Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.