Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano kuhusu Takwimu za Makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.Mtakwimu wa Kitengo cha Takwimu za makosa ya Jinai,Madai na Jinsia Asha Mussa Mahfoudh akitoa Takwimu za Makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.CPL kutoka kitengo cha Traffic Makao Makuu ya Polisi Zanzibar akijibu maswali ya Waandishi kuhusu makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Zenj Fm Amina Diwani akiuliza maswali katika Mkutano wa Waandishi kuhusu Takwimu za Makosa ya Ajali za Barabarani ambapo ameonekana kushuka kutoka ajali 39 kwa mwezi wa Agosti 2018 hadi 23 Mwezi wa Agosti 2019 Mkutano uliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Na Mwandishi wetu, Simanjiro MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, amesema Mkoa huo umenufaika kwa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiasi cha…
Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi wa Habari nchini kuipa…