Home Mchanganyiko DCI AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA INTERPOL WA NCHI ZA MASHARIKI MWA...

DCI AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA INTERPOL WA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA.

0

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz
akisalimiana na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo (CP), Liberatus
Sabas mara baada ya kufungua Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol
(NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (kushoto kwake) ni Mkuu wa Interpol
Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Daniel Nyambabe. (Picha na
Jeshi la Polisi).

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akiwa
katika picha ya pamoja na Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika
Mashariki wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol
(NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (Picha na Jeshi la Polisi).

Washiriki wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za
Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa
Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo.
(Picha na Jeshi la Polisi).