Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mbeya Jiji, kwenye jengo la utawala, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mbeya Jiji, kwenye jengo la utawala, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).