Home Mchanganyiko SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI WA CCM TAIFA...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI WA CCM TAIFA MJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndg. Dkt. Edmund Mndolwa alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndg. Dkt. Edmund Mndolwa alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndg. Dkt. Edmund Mndolwa alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)