Home Mchanganyiko RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MPANGO SHIKIRISHI WA KUTOKOMEZA KIPINDUPINDU ZANZIBAR

RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MPANGO SHIKIRISHI WA KUTOKOMEZA KIPINDUPINDU ZANZIBAR

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA)Mussa Ramadhan Haji (kulia)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,(kushoto) Afisa Ufuatiliaji na Kampeni Ameir Muhidin Nahoda.[Picha na Ikulu.] 10/09/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira na Mamlaka ya usimamizi Mazingira Nd.Alawi Haji Hija (kushoto)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 10/09/2019. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Maji na Usafi wa Mazingira UNICEF Bw.Marko Msambazi(katikati)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 10/09/2019. 

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika   ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)

Viongozi na Watendaji mbali mbali katika Serikai ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika   ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 10/09/2019.

Maafisa katika Idara za Serikali ya Mapinduzi na taasisi Binafsi wakiwa katika Uzinduzi wa mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar  uliyofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani). katika   ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar leo.  [Picha na Ikulu.] 10/09/2019.