Home Biashara MARAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA YOWERI MUSEVENI WATEMBELEA BANDA LA...

MARAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA YOWERI MUSEVENI WATEMBELEA BANDA LA CRDB KONGAMANO LA WAFANYA BIASHARA UGANDA NA TANZANIA

0

Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museveni na Mwenyeji wake Rais wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli wakisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakati walipotembelea mabanda kwenye kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda linalofanyika leo kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tazania Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakati walipotembelea mabanda kwenye kongamano la biashara kati ya Tanzania linalofanyika leo kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tazania Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Bw. Masanja Kadogosa wakati walipotembelea mabanda kwenye kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda  linalofanyika leo kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museveni na Mwenyeji wake Rais wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari (TPA) Deusdedit Kakoko wakati walipotembelea banda la mamlaka hiyo.

Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museveni na Mwenyeji wake Rais wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli  wakitembelea mabanda mbalimbali katika Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na  Uganda kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela akizungumza na Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa MSD Bw.Laurean Rugambwa Bwanakunu wakizunguza katika kongamano hilo.

Kutoka kulia Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli TRC Bw Masanja Kadogosa, Mkurugenzi wa TTCL Bw Waziri Kindamba na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Malelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas.

Kutoka kulia ni Waziri Mh. Omary Mgumba  Naibu Waziri wa Kilimo, Mh Dotto Biteko Waziri wa Madini, Mh. Luhaga Mpina Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Immocent Bashungwa Waziri wa Biashara na Viwanda wakiwa katika Kongamano hilo.

Kutoka kushoto ni Mh. Hamad Masauni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega, Naibu Waziri wa Ardhi Dkt Angelina Mabula na Anthony Mavunde Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Anthony.

Meneja Uhusiano wa Benki hiyo, Godwin Semunyu kulia akiwa pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela akizungumza na Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa MSD Bw.Laurean Rugambwa Bwanakunu wakizunguza katika kongamano hilo