Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Sekta binafsi kutoka Ofisi ya Makamu wa
Rais, Bw. Ezamo Maponde akizungumza wakati wa kufunga mradi wa miaka
nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi
katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa
Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) katika hafla
iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.

Mkuu wa kitengo cha utafiti mkakati na machapisho kutoka Taasisi ya
Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Profesa Fortunata Makene
akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Dk. Tausi
Kida wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji
kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika
Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es

Mgeni rasmi Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Sekta binafsi kutoka Ofisi ya
Makamu wa Rais, Bw. Ezamo Maponde (kulia) na Mkuu wa kitengo cha utafiti
mkakati na machapisho kutoka Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii
(ESRF), Profesa Fortunata Makene wakiwa meza kuu wakati wa hafla ya
kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na
masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi
uliokuwa ukiratibiwa na ESRF iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Mtafiti mwandamizi wa ESRF Dk. Hoseana Bohela Lunogelo akizungumzia
nafasi ya wadau katika mchakato wa PSDS wakati wa hafla ya kufunga mradi
wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya
tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa Tanzania kwenye Shirika la Biashara Duniani (WTO) jijini
Geneva , Uswis Bi. Neema Manongi akizungumzia kinachotarajiwa kutoka WTO
za utengenezaji wa mnyororo wa thamani kwa bidhaa za mashambani wakati
wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara
pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
(PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili
matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Geneva , Uswis Bi. Neema Manongi akizungumzia kinachotarajiwa kutoka WTO
za utengenezaji wa mnyororo wa thamani kwa bidhaa za mashambani wakati
wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara
pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
(PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili
matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Dk Ladislaus Chang’a, kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
akiendesha majadiliano kuhusu namna ambavyo mazungumzo ya kimataifa
kuhusu biashara na mabadiliko ya hali ya hewa yalivyochagiza uumbaji wa
sera zinazotumiwa na serikali kuwezesha uchakataji wa bidhaa za kilimo
pamoja na mabadiliko ya tabia nchi wakati wa hafla ya kufunga mradi wa
miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia
nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu
pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa

Ofisa wa programu CUTS International, Nairobi Bw. Collins Owegi
akizungumzia nini kilichofanyika na kufanikiwa katika PACTEAC2 wakati wa
hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara
pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC
2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya
mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa kitaifa wa TCSAA ambaye pia ni mshiriki majadiliano ya UNFCCC
Bi. Shakwaanande Natai akizungumza kuhusu mabadiliko ya tabia nchi na
uhuishaji wake kwenye kilimo chini ya makubaliano ya Koronivia wakati wa

Dk. Donatilla Kaino wa ESRF akiendesha majadiliano ya mada kuhusu mradi
PACTEAC 2 ambapo yaliangalia uwezeshaji uliofanyika na kipi kitaendelea
wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo,
biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
(PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili
matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
PACTEAC 2 ambapo yaliangalia uwezeshaji uliofanyika na kipi kitaendelea
wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo,
biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
(PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili
matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa kitengo cha utafiti mkakati na machapisho kutoka Taasisi ya
Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Profesa Fortunata Makene
akifafanua jambo wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa
uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika
nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF
ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa
kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam.

Baadh ya wadau mbalimbali wakiwemo watafiti wa masuala ya kiuchumi, wakulima na
wafanyabiashara wakishiriki kutoa maoni wakati wa hafla ya kufunga mradi
wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya
tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu
pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
wafanyabiashara wakishiriki kutoa maoni wakati wa hafla ya kufunga mradi
wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya
tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu
pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau mbalimbali wakiwemo watafiti wa masuala ya kiuchumi, wakulima na
wafanyabiashara walioshiriki hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa
uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika
nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF
ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa
kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam.
wafanyabiashara walioshiriki hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa
uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika
nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF
ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa
kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya mgeni rasmi na wadau mbalimbali wakiwemo watafiti wa masuala ya kiuchumi, wakulima na wafanyabiashara walioshiriki hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu
MKUU
wa Idara ya Maendeleo ya Sekta binafsi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais,
Ezamo Maponde amesema serikali itaendelea kuwa mstari wa mbele kuwezesha
mkakati wa maendeleo ya sekta binafsi katika nchi za Afrika Mashariki
(PSDS) kufanikiwa.
Aidha
alisema, serikali imekuwa mstari wa mbele kufanya mabadiliko mbalimbali
ya sera zake ikiwemo mpango wa dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2015
ili kusukuma mbele sekta za Kilimo na biashara.
Alisema
hayo wakati wa kufunga kwa mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo,
biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
, mradi uliokuwa ukiratibiwa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii
(ESRF).
Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu, Sera, Uratibu na
Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu alisema kutokana na mabadiliko ya kisera
na usimamizi wa utekelezaji wake Tanzania imefanikiwa kujiondoa katika
utegemezi.
Alisema
juhudi zilizofanyika kuweka msingi katika mradi huo kutatochoea
kuimarishwa kwa Kilimo na kuwa na Kilimo biashara ili ndoto za kuwa na
uchumi wa kati unaotegemea viwanda kufanikiwa.
Alisema kutokana na
haja hiyo serikali imekuwa ikitengeneza sera na kubadili kanuni
mbalimbali ili kuhimiza uchumi wa kiushindani wa viwanda toka mwaka
1961 kwa lengo la kupunguza utegemezi katika bajeti. Sekta ya viwanda
nchini imegawanyika katika maeneo matatu ya uzalishaji (53%) uchakataji
(24 %) na uunganishaji (4%).
Kwa
kuwa uchumi wa Tanzania unategemea mazao ya Kilimo kinachoajiri
asilimia 75 ya wananchi, ndio nguzo ya uzalishaji wa bidhaa katika
viwanda.
Kutokana na utegemezi huo viwanda vinavyochakata mazao ya
Kilimo hasa chakula ni asilimia 24, viwanda vya nguyo na nyuzi asilimia
10 na kemikali asilimia 8.5.
Akizungumzia
mradi huo Profesa Fortunata Makene, Mkuu wa kitengo cha utafiti mkakati
na machapisho kutoka Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF)
alisema kwa kiasi kikubwa umesaidia katika kuleta tija katika sekta ya
kilimo na biashara ikiwemo kuzishawishi serikali kufanya mabadiliko
katika sera zake.
Akizungumza
katika mkutano huo uliowakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo watafiti
wa masuala ya kiuchumi, wakulima na wafanyabiashara kujadili matokeo ya
mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, alisema mradi huo
uliokuwa na lengo la kuzishawishi serikali katika masuala ya sera
kupitia mpango ujulikanao kama ‘National Reference Group’.
Alisema
mradi huo ulilenga kuangalia namna ambavyo masuala ya mabadiliko ya
tabia nchi yanahusishwa na shughuli za kilimo na biashara ili kuleta
tija kwa wakulima na wafanyabiashara kwa ujumla.
Profesa
Makene alisema kimsingi mradi huo uliondeshwa kwa awamu mbili kwa
vipindi vya miaka minne minne tangu kuanzishwa kwake umeweza kuchangia
mabadiliko hayo na kuongeza uelewa kwa wadau husika wakiwemo wanawake
kutoka vikundi mbalimbali vinavyojishughulisha na kazi za usindikaji wa
vyakula na bidhaa
Aidha
alisema uwepo wa sera madhubuti katika kilimo na biashara kwa kiasi
kikubwa kumeweza kuleta mabadiliko chanya kwa wakulima na
wafanyabiashara ikiwemo kuongeza thamani katika mnyororo.
Nchi
za Afrika Mashariki kwa sasa zipo katika kuendeleza mpango wa Private
Sector Development Strategy (PSDS) 2018-2022 wenye lengo, la kuimarisha
mazingira bora ya biashara na kuzifanya kuwa za ushindani.