Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Mhe. CHO, Tae-ick alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Mhe. CHO, Tae-ick alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma