Home Michezo LIVERPOOL MWENDO WA USHINDI EPL YAICHAPA 3-0 BURNLEY

LIVERPOOL MWENDO WA USHINDI EPL YAICHAPA 3-0 BURNLEY

0

Mshambuliaji Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Burnley leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England  Uwanja wa Turf Moor huo ukiwa ushindi wa 13 mfululizo kwenye ligi hiyo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Chris Wood aliyejifunga dakika ya 33 akijaribu kuokoa krosi ya Trent Alexander-Arnold na Roberto Firmino dakika ya 80 PICHA ZAIDI   SOMA HAPA