Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya pili na Bernardo Silva dakika ya 79 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YAICHAPA 4-0 BRIGHTON ,AGUERO ATUPIA MBILI
By Alex Sonna
September 1, 2019 | 4:15 am

Related Stories
View all
Michezo
3 days ago
HISTORIA NA MAFANIKIO YA TANZANIA PRISONS SC YAWEKWA WAZI KWA MASHABIKI, JIJINI DODOMA
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Huduma kwa wafungwa (OMS)Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Emmanuel Malisa,…
Michezo
3 days ago
SIMBA SC YAWASHA ‘MOTO’ CRDB FEDERATION CUP
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya kufuzu nusu…
