Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ulioanza leo tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed Said wakati alipowasili kwa ajili ya Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ulioanza leo tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019 katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) leo katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika .
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ulioanza leo tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019.