Naadhi ya mabalozi wa Usalama barabarani wakiwa katika picha ya pamoja kuelekea katika mkutano mkuu wa mwaka Jijini Mwanza leo 30/8/2019
Mabalozi wa usalama barabarani wakionekana katika picha ya pamoja Jijini Mwanza leo tarehe 30/8/2019
Mwawakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Marlin Komba ,akisisitiza jambo katika mkutano mkuu wa mwaka wa mabalozi wa usalama barabarani uliofanyika Jijini Mwanza leo.30/8/2019
Mabalozi wa usalama barabarani nchini wakiwa katika mkutano mkuu wa Mwaka uliofanyika Jijini Mwanza leo
Moja ya timu wapenzi na madhafiki wa Simba sports Club wakiwa uwanjani kwaajili ya mchezo wa kirafiki katika Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
Moja ya timu wapenzi na madhafiki wa Yanga sports Club wakiwa uwanjani kwaajili ya mchezo wa kirafiki katika Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
……………….
mabalozi 125 kutoka Taasisi ya Mabalozi wa usalama barabarani( RSA )wamekutana Jijini Mwanza,lengo kuu likiwa ni kutoa Elimu na kuwajengea wananchi uwezo wa kuwa sehemu ya mabadiliko ya usalama
barabarani ikiwa ni namna ya kusaidia
kupunguza ajali ,kwani kila raia wa Tanzania anawajibu wa kuwa sehemu ya
mabadiliko ya usalama barabarani.
mabalozi wa usalama barabarani Nchini, amesema kwa kushirikiana na jeshi la Polisi
Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mwanza kikisimamiwa na RTO,Tanroad ,Jeshi
la zimamoto, walifanya zoezi za kurudishia alama za barabarani zile zilizopauka
,na kuchora mpya sehemu zinazohitajika.
pale dereva anapokwenda kinyume na taratibu na sheria za usalama barabarani ili
kuhakikisha kuwa ajali zinapungua kama siyo kwisha kabisa
jamii,macho yetu tunayaelekeza kwa kutambua kuwa jeshi la polisi peke yao
hawawezi kwani askari ni wachache na vitendea kazi ni vichache je! sisi kama
wananchi hatuna wajibu wa kupunguza?aliuliza Seka.”
kuwa pamoja na kuwa balozi lazima wazingatie sheria za usalama barabarani pia lazima
wafuate sheria kama utaratibu unavyoagiza
hadi sasa RSA wanatekeleza mradi wa Maboresho
ya sheria ya usalama barabarani,wenye
lengo la kushawishi serikali na bunge kubadili sheria ya usalama barabarani ya
mwaka 1973 ili ikidhi mahitaji ya wakati
huu kwasababu ina mapungufu katika maeneo mbalimbali.
sheria ya sasa kutomlazimisha abiria kuvaa kofia ngumu,kufunga
mkanda,kutokulazimu magari madogo kuwa na vizuizi vya watoto wakiwa ndani ya
gari (child restraint) Sheria pia hailazimishi magari yote kusimama kabla ya
kuvuka kivuko cha reli isipokuwa magari ya abiria na mizigo .Alisema Fungo’’
hadi sasa RSA imefanikiwa kufungua klabu za usalama barabarani kwa wanafunzi
katika shule 22,ambapo 10 kutoka mkoa wa Kilimanjaro,12 mkoa wa Pwani, amesema
matazamio ya baadae ni kupanua wigo wa shule zinazopata elimu ya usalama barabarani
nchini Tanzania.
tangia wakiwa wadogo ni rahisi wao kuelewa zaidi kwao kutii sheria na
kujiepusha na ajali”alisema Fungo
muwakilishi wa Katibu mkuu wizara ya mambo ya Ndani Marlin Komba amemtaka kila balozi kutimiza wajibu wake kwa
kuzingatia maadili,bila kuwa na ushabiki wowote,pasipo kuwatetea wavunja sheria
za usalama barabarani,badala yake watumie ubalozi wao kwenye kuelimika na kupata
maarifa.
nidhamu mahali unapooneka je ukiwa peke yako utaionyesha ,nidhamu ni kusikiliza
na kuelewa “alisema Marlin
kwenda kuwa mabalozi kwa watu wengine ili kufanya maamuzi sahihi kuzingatia
sheria na usalama barabarani ,nakuepuka lugha za matusi kwani ni kosa la
jinai,huku akiwaonya baadhi ya mabalozi kutokutumia nembo ya RSA kukashifu watu
wengine,amewataka kutumia utaratibu unaostahili
hiyo ya mabalozi wa usalama barabarani imebeba kauli mbiu isemayo ,uchumi wa
viwanda unahitaji kufanyika kwa mabadiliko ya sheria ya Usalama Barabarani,ili
kulinda rasilimali watu dhidi ya ajali.
Mkutano huo uliambatana na michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa mpira wa miguu,kuvuta kamba kufukuza kuku na mbio za magunia ,ambapo michezo yote ilifanyika katika uwanja wa mpira wa Nyamagana Jijini Mwanza.