Home Mchanganyiko Waziri Mwakyembe Akutana na Kujadiliana na Wahariri Juu ya Tamasha la JAMAFEST

Waziri Mwakyembe Akutana na Kujadiliana na Wahariri Juu ya Tamasha la JAMAFEST

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akisisitiza jambo kwa Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati alipokutana nao leo29 Agosti, 2019 jijini Dar es Salaam kuzungumzia Tamasha la nne la Utamaduni wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalotarajia kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 28, Septemba 2019.

Baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati alipokutana nao leo 29 Agosti, 2019 jijini Dar es Salaam kuzungumzia Tamasha la nne la Utamaduni wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalotarajia kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 28, Septemba 2019.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
(kulia) akifafanua jambo kwa Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao leo29 Agosti, 2019 jijini Dar es Salaam kuzungumzia Tamasha la nne la Utamaduni wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalotarajia kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 28, Septemba 2019.

Baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani)
wakati alipokutana nao leo29 Agosti, 2019 jijini Dar es Salaam kuzungumzia Tamasha la nne la Utamaduni wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalotarajia kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 28, Septemba 2019.

Mhariri Mkuu wa E. FM Radio, Scholastica Mazula akichangia mada wakati Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe alipokutana na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari leo 29 Agosti, 2019 jijini Dar es Salaam kuzungumzia Tamasha la nne la Utamaduni wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalotarajia kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 28, Septemba 2019.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam