Home Mchanganyiko WAZIRI LUGOLA, WATENDAJI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAJADILI UTENDAJI...

WAZIRI LUGOLA, WATENDAJI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAJADILI UTENDAJI KAZI, JIJINI DA R ES SALAAM, LEO

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto meza kuu) akizungumza na Watendaji wa Wizara hiyo, katika kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu, alipokua akimfafanulia jambo katika kikao kazi cha Watendaji wa Wizara hiyo (hawapo pichani), kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.