Alexis Sanchez akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuwasili mjini Milan jana kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamisho wake wa mkopo AC Milan baada ya miezi 18 migumu Manchester United ya England PICHA ZAIDI SOMA HAPA
SANCHEZ ATUA MILAN KUKAMILISHA UHAMISHO WA MKOPO
By Alex Sonna
August 29, 2019 | 1:58 pm

Related Stories
View all
Michezo
15 hours ago
ENGLAND YAIBUKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2026, YICHAPA UFARANSA 6-4
Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kombe la Dunia baada ya kuifunga Ufaransa mabao 6-4 katika mchezo wa…
Michezo
2 days ago
SUBIRA IMEKWISHA! 😱⚽
Fainali ya FIFA WORLD CUP 2026 inakuja na Oryx Energies tuko tayari kuitazama pamoja nawe! Tukutane Mbagala Zakhem *Jumapili | 19 July 2026* Tunayo…
