RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamuhuri ya Rwanda Nchini Tanania.Mhe. Eugine Kayihura, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania, yaliofanyika leo 27-8-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugine Kayihura, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania, mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar leo 27-8-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugine Kayihura, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake ya kazi Nchini Tanzania, hafla hiyo imefanyika leo 27-8-2019 Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugine Kayihura , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo 27-8-2019, alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania.(Picha na Ikulu)