Profesa Lazaro Busagala ni Mkurugenzi Mkuu wa TAEC nchini akizungumza na washiriki wa wa mafunzo ya namna ya kujikinga na mionzi wakati wa ukaguzi wa mizigo kwa kutumia mashine ya X-Ray.Picha zote na habari na Vero Ignatus.
Dkt.Remugius Kawala mtafiti mwanadamizi na Mratibu wa tafiti wa mafunzo ya TAEC.
Washiriki wa Mafunzo yaliyoendeshwa na TAEC kuhusiana namna ya kuepuka madhara yatokanayo mionzi wakati wa ukaguzi wa mizigo,Watumishi 8 kutoka TRA na mmoja kutoka katika hoteli ya 4point by Sheratoni iliyopo jijini Arusha(New Arusha Hotel )
Washiriki wa Mafunzo yaliyoendeshwa na TAEC kuhusiana namna ya kuepuka madhara yatokanayo mionzi wakati wa ukaguzi wa mizigo,Watumishi 8kutoka TRA na mmoja kutoka katika hoteli ya 4point by Sheratoni iliyopo jijini Arusha(New Arusha Hotel )katikati ni mwanadada pekee aliyeshiriki katika mafunzo hayo Devotha Mwenda kutoka TRA Makao makuu Dar es salaam.
Mkurugenzi mkuu wa TAEC Nchini Profesa Busagala akimkabidhi cheti cha mafunzo hayo Afisa Usalama Mwandamizi Idara ya mambo ya ndani TRA kutoka makao makuu Jijini Dar es salaam
Albert Mwangila Afisa mkuu wa Idara ya mambo ya ndani kutoka TRA makao makuu Dar es salaam akitoa neno la shukrani mara baada ya mafunzo hayo kukamilika.
Na.Vero Ignatus,Arusha.
tano kwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato nchini lengo likiwa ni kujua namna ya
kujilinda na mionzi wakati wa ukaguzi wa mizigo ,kwa kutumi a mashine za X-RAY
.
Busagala ni Mkurugenzi Mkuu wa TAEC nchini,amesema lengo la nguvu za Atomiki
Tanzania ni kuendesha mafunzo ya aina hiyo mara kwa mara, kwani ni muhimu ili
kuweza kuhakikisha kwamba wananchi kwa ujumla wao wanakuwa salama kutokana na
madhara yanayoweza kujitokeza kwasababu ya mionzi au Teknolojia ya Nyuklia
,Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani International Atomic Energy Agency ( IAEA)
linatumia kuwa ni kigezo kimoja wapo kuiweka nchi katika kundi la kuwa salama ikiwa kuuna mafunzo ,amesema kama
hakuna mafunzo ni kwamba watu hawana uelewa wa kutosha na mambo yanakwenda bora
yaende na watu wanatumia visivyo.
wananchi kutokana na madhara ya mionzi tayari katika hatua za ndani ya Tume ya
nguvu za Atomiki nchini Tanzania tumeshapitisha na tumeshapeleka kwa
serikalini,na serikali sasa inaendelea kutumia kwa muda kuzipitia na mwanasheria
mkuu wa serikali anazipitia,na zikishwa pitishwa tuweze kuweka mambo vizuri
zaidi “Alisema Profesa.
amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuongeza uelewa kwa wale wanaoratibu
mashine hizo,pamoja na uelewa wa jamii,na kuripoti namna ya watu wanaokwenda
mipakani na Bandarini kutumia hizo mashine na kuwasaidia wadhibiti kuwa na watu
ambao wanauelewa wakutumia hizo mashine.
kwa mashine,kwahiyo ukiangalia tunamaeneo mengi sana ya hizo check
point,bandari,mamlaka mbalimbali nchini,viwanja vya ndege,mahoteli makubwa,ila
kwa sasa tumeanza na Mamlaka ya Mapato nchini TRA na baadae tutaendelea na
Mamlaka nyingine Nchini”Alisema Dkt.Kawala.
hawaruhusu mtu kuingiza mkono kwani mionzi inayotoka katika mashine
hiyo husababisha baadhi ya seli za mwili
kufa japo kuwa hawajui ni kwa kiwango gani kwa wakati huo ,amesema ikiwa inajirudia mara kwa mara kuna uwezekano wa
kusababisha madhara mengine kama
ya kansa.
kwenye mkanda uje uupokelee nje kabisa hata Yule operetta ukimuangalia kwa
umakini utaona hawai kukimbilia lile begi,kwasababu kunavidhibiti vinaitwa leedsheets”alisema
Dkt.Kawala.
Afisa mkuu wa Idara ya mambo ya ndani kutoka TRA makao makuu Dar es salaam amesema
kuwa mafunzo yalikuwa yakilenga namna ya kutumia mashine bila ya kuleta madhara
kwa mtumiaji ,wakati huohuo kuweza kuwalinda wateja pamoja nawageniwanaotembelea
ofisi za Mamlaka hiyo .
zinazotoa mionzi ambazo ni X-Ray,na
mashine ya kuskani mizigo “Alisema Mwangila.
na mambo mengi ambayo Taasisi hiyo imeyafanya kwaajili yao wakati wa
mafunzo,wamekuwa na wataalam tofauti kwa nyakati mbalimbali na wote walikuwa
wamebobea katika maeneo yao.
wahitimu wakiwa ni watumishi nane kutoka mamlaka ya mapato nchini TRA , na mmoja
M
iliyopo jijini Arusha(New Arusha Hotel )