Home Mchanganyiko Deni la JPM la shilingi milioni 5 lalipwa Muhimbili

Deni la JPM la shilingi milioni 5 lalipwa Muhimbili

0

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akipokea shilingi milioni 5 kutoka kwa wakili Albert Msando ikiwa ni fedha za gharama za kulipa matibabu ya marehemu Bi. Sabina Kitwae Loita.

Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Museru akitoa ufafanuzi kwa waandishi habari kuhusu deni hilo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Museru wa MNH.