Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia Habari Dkt.Saleh Yussuf Mnemo (wa pili kushoto) akitoa ufafanuzi wakati wa Mkutano wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia Utalii na Mambo ya kale Dkt .Amina Ameir Issa (kushoto)
Baadhi ya Viongozi mbali mbali katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipoingia katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar kabla kuanza Mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo.
Baadhi ya Maafisa katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Ungozi wa Wizara hiyo leo katika Mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu.