Home Mchanganyiko RAIS WA ZAMBIA MH. EDGAR LUNGU AONGOZA KIKAO CHA ULINZI NA USALAMA...

RAIS WA ZAMBIA MH. EDGAR LUNGU AONGOZA KIKAO CHA ULINZI NA USALAMA (SADC TROIKA)

0

Rais wa Zambia Mh. Edgar Changwa Lungu Mwenyekiti wa Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) akiongoza kikao cha ulinzi na usalama kwa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi kusini mwa Afrika (SADC) kinachofanyika leo jioni hii kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWEBLOG)

Rais wa Angola Mh. Joao Lourenco Mwenyekiti wa Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) anayemaliza muda wake  akiwa katika kikao hicho kinachofanyika leo  jioni hii kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais wa Zimbabwe Mh. Emmerson Dambudzo Mnangagwa anayechukua nafasi ya uenyekiti wa Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) akiwa katika kikao hicho kinachofanyika leo jioni hii kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Kiuchumi kusini mwa Afrika SADC Dk Stergomena Tax akiwa kwenye kikao cha Taasisi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Troika) kinachofanyika leo jioni hii kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.