Home Mchanganyiko Wananchi watembelea banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika maonesho...

Wananchi watembelea banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika maonesho ya wiki ya SADC

0

Daktari bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pedro Pallangyo akiwaeleza huduma za matibabu ya moyo wananchi alipotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya viwanda  ya SADC yaliyomalizika  jana jijini Dar es Salaam huduma .

Daktari wa chumba cha upasuaji wa moyo Tryphone Kagaruki kutoka  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akimwelekeza Bhupendra Vaghele jinsi upasuaji wa moyo unavyofanyika alipotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya viwanda  ya SADC yaliyomalizika  jana jijini Dar es Salaam.

Daktari bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pedro Pallangyo akimtazama Mustafa Abdulkadir akisaini kitabu cha wagonjwa alipotembelea banda la Taasisi hiyo kwa ajili ya kufahamu huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa wakati wa maonesho ya viwanda  ya SADC yaliyomalizika  jana jijini Dar es Salaam huduma .