Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Sara Cooke akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti alipotembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti cha Moshi mkoani Kilimanjaro,katikati ni Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Uingereza kitengo cha Biashara ,Andrew Rosendell.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Mark Ocitti akiwaongoza wageni wake ,Balozi wa Uingereza nchini Tanzania ,Sara Cooke na Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Uingereza kitengo cha Biashara ,Andrew Rosindell walipotembelea kiwanda cha Bia cha Serengeti Moshi.akiwa na wageni wake ,Balozi wa Uingereza nchini Tanzania ,Sara Cooke (wa kwanza kulia)
na Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Uingereza kitengo cha Biashara ,Andrew
Rosindell wakijiandaa kuotesha miti katika kiwanda cha Bia cha Serengeti -Moshi.
Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Uingereza kitengo cha Biashara ,AndrewRosindell akizungumza wakati wa zoezi la kuotesha miti katika kiwanda cha Bia cha Serengeti ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa kuotesha miti katika mkoa wa Kilimanjaro .
Balozi wa Ungereza nchini Tanzania ,Sara Cooke akiotesha mti katika kiwanda cha Bia cha Serengeti mjini Moshi .
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti ,Mark Ocitti akimwagia maji mti alioutosha katika kiwanda cha Bia cha Serengeti cha mjini Moshi ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya kuotesha miti 1000 katika mkoa wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Mark Ocitti (kulia )akiwa na wageni wake ,Balozi wa Uingereza nchini Tanzania ,Sara Cooke (kushoto) na Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Uingereza kitengo cha Biashara ,Andrew Rosindell(katikati) /* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
mabadiliko ya tabia nchi Kampuni ya Bia ya Seerengeti (SBL) kwa kushirikiana na taasisi ya The Kilimanjaro Project wamezindua kampuni ya kuotesha miti 1000 kwa mkoa wa Kilimanjaro.
jumuiya ya kimaitafifa juu ya kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa kwa kuongeza juhudi za uhifadhi wa misitu ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kuweka mazingira katika hali ya usalama kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
kiwanda cha SBL kilichopo Pasua katika wilaya ya Moshi ,Mkurugenzi Mtendaji wa SBL ,Mark Ocitti amesema SBL imeamua kuongeza jitihada za uhifadhi wa mazingira katika maeneo yaliyo chini ya SBL bali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.
cha Bia cha Serengeti Moshi .
katika kurudisha kwa jamii sehemu ya faida na umejikita zaidi katik autoaji wa huduma bora ya maji safi kupitia mradi uitwao Water of Life (WOL) .
ndani husuani wa vijijini pamoja na mpango wa kuhamasisha unywaji pombe kistaarabu.







