Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo Agost 09,2019 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo Agost 09,2019 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.