Home Mchanganyiko TAA yahakikishia ugeni SADC huduma bora

TAA yahakikishia ugeni SADC huduma bora

0

Kaimu Meneja Biashara, Bi. Herieth Nyalusi wa Kiwanja cha Ndege
cha Kimataifa cha Julius Nyerere (wa kwanza kulia), akitoa maelezo mbalimbali
kwa Bw. Mohamed Issa alipotembelea maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya
Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) katika Banda la Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) waliopo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam. Maonesho hayo yamefungwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt Ali
Mohamed Shein.

Raia wenye Asili ya Asia, kuanzia kulia Cuco Donny, Dorony Mnarty
na Zohra Lukmanji leo wakimsikiliza Kaimu Meneja Biashara wa Kiwanja cha
Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bi. Herieth Nyalusi (kushoto),
walipotembelea maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) katika Banda la Mamlaka ya Viwanja vya
Ndege Tanzania (TAA), kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Maonesho hayo yamefungwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein.

Kaimu Meneja Biashara wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha
Julius Nyerere, Bi. Herieth Nyalusi leo akimsikiliza Mzee Rweyumamu
aliyetembelea maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya Jumuiya ya Maendeleo
Kusini Mwa Afrika (SADC) katika Banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA) kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Maonesho
hayo yamefungwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein.

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA),
Bi. Bahati Mollel akitoa maelezo mbalimbali kwa Wilson Ishengoma (kulia) akiwa
na watoto wake walipotembelea Banda la maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda
ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) la Mamlaka ya Viwanja vya
Ndege Tanzania (TAA), kwenye viwanja vya Karimjee. Maonesho hayo
yamefungwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein.